Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Wimbo Ulio Bora 7:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Kitovu chako ni kama bakuli la mviringo, Na isikose divai iliyochanganyika; Tumbo lako ni mfano wa chungu ya ngano, Iliyozungukwa na ugo wa nyinyoro;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Kitovu chako ni kama bakuli lisilokosa divai iliyokolezwa. Tumbo lako ni kama lundo la ngano lililozungushiwa yungiyungi kandokando.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Kitovu chako ni kama bakuli lisilokosa divai iliyokolezwa. Tumbo lako ni kama lundo la ngano lililozungushiwa yungiyungi kandokando.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Kitovu chako ni kama bakuli lisilokosa divai iliyokolezwa. Tumbo lako ni kama lundo la ngano lililozungushiwa yungiyungi kandokando.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Kitovu chako ni kama bilauri ya mviringo ambayo kamwe haikosi divai iliyochanganywa. Kiuno chako ni kichuguu cha ngano kilichozungukwa kwa yungiyungi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Kitovu chako ni kama bilauri ya mviringo ambayo kamwe haikosi divai iliyochanganywa. Kiuno chako ni kichuguu cha ngano kilichozungukwa kwa yungiyungi.

Tazama sura Nakili

Wimbo Ulio Bora 7:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

Badala ya baba zako watakuwapo watoto wako, Utawafanya kuwa wakuu katika nchi zote.

Itakuwa afya mwilini pako, Na mafuta mifupani mwako.

Mikono yake ni kama mianzi ya dhahabu, lliyopambwa kwa zabarajadi; Kiwiliwili chake kama kazi ya pembe, Iliyonakishiwa kwa yakuti samawi;

Binti wa kimalkia, jinsi ulivyo mzuri Hatua zako katika mitarawanda. Mapaja yako ya mviringo ni kama johari, Kazi ya mikono ya fundi stadi;

Matiti yako mawili ni kama wanapaa wawili, Ambao ni mapacha ya paa;

Nisikilizeni, enyi wa nyumba ya Yakobo, ninyi mlio mabaki ya nyumba ya Israeli, mliochukuliwa nami tangu tumboni, mlioinuliwa tangu mimbani;

Kabla sijakuumba katika tumbo nilikujua, na kabla hujatoka tumboni, nilikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

Kadhalika, ndugu zangu, ninyi pia mmeifia torati, kwa njia ya mwili wa Kristo, mpate kuwa mali ya mwingine, yeye aliyefufuka katika wafu, kusudi tumzalie Mungu matunda.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo