Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wimbo Ulio Bora 7:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Njoo, mpendwa wangu, twende mashambani, Tufanye maskani katika vijiji.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Njoo ewe mpenzi wangu, twende mashambani, twende zetu tukalale huko vijijini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Njoo ewe mpenzi wangu, twende mashambani, twende zetu tukalale huko vijijini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Njoo ewe mpenzi wangu, twende mashambani, twende zetu tukalale huko vijijini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Njoo, mpenzi wangu, twende mashambani, twende tukalale huko vijijini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Njoo, mpenzi wangu, twende mashambani, twende tukalale huko vijijini.

Tazama sura Nakili




Wimbo Ulio Bora 7:11
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na watu wa Tiro wanakushawishi kwa zawadi, Nao matajiri wa watu watajipendekeza kwako.


Nivute nyuma yako, na tukimbie; Mfalme ameniingiza vyumbani mwake. Tutafurahi na kukushangilia; Tutalinena pendo lako kuliko divai; Ndiyo, ina haki wakupende.


Mpendwa wangu ni wangu, na mimi ni wake; Hulisha kundi lake penye nyinyoro.


Bibi arusi, njoo pamoja nami toka Lebanoni, Pamoja nami toka Lebanoni. Shuka kutoka kilele cha Amana, Kutoka vilele vya Seniri na Hermoni; Kutoka mapangoni mwa simba, Kutoka milimani mwa chui.


Mimi ni wake mpendwa wangu, Na shauku yake ni juu yangu.


Twende mapema hadi mashamba ya mizabibu, Tuone kama mzabibu umechanua, Na maua yake yamefunuka; Kama mikomamanga imetoa maua; Huko nitakupa upendo wangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo