Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wimbo Ulio Bora 4:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 Matiti yako mawili ni kama wanapaa wawili, Nyuma ya barakoa yako. Ambao ni mapacha ya paa; Wakilisha penye nyinyoro.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Matiti yako ni kama paa mapacha, ambao huchungwa penye yungiyungi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Matiti yako ni kama paa mapacha, ambao huchungwa penye yungiyungi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Matiti yako ni kama paa mapacha, ambao huchungwa penye yungiyungi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Matiti yako mawili ni kama wana-paa wawili, kama wana-paa mapacha wajilishao kati ya yungiyungi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Matiti yako mawili ni kama wana-paa wawili, kama wana-paa mapacha wajilishao katikati ya yungiyungi.

Tazama sura Nakili




Wimbo Ulio Bora 4:5
12 Marejeleo ya Msalaba  

Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Matiti yake yakutoshe sikuzote; Na kwa upendo wake ushangilie daima.


Mpendwa wangu ni kama mfuko wa manemane Ukilazwa usiku maziwani mwangu.


Mpendwa wangu ni wangu, na mimi ni wake; Hulisha kundi lake penye nyinyoro.


Mpendwa wangu ameshukia bustani yake, Kwenye matuta ya rihani; Ili kulisha penye bustani, Ili kuchuma nyinyoro.


Mimi ni wake mpendwa wangu, naye ni wangu, Hulisha kundi lake penye nyinyoro.


Matiti yako mawili ni kama wanapaa wawili, Ambao ni mapacha ya paa;


Shingo yako ni kama huo mnara wa pembe; Macho yako kama viziwa vya Heshboni, Karibu na mlango wa Beth-rabi; Pua yako ni kama mnara wa Lebanoni, Unaoelekea Dameski;


Kimo chako kimefanana na mtende, Na matiti yako na vichala.


Laiti ungekuwa kama ndugu yangu, Aliyeyanyonya matiti ya mamangu! Kama ningekukuta huko nje, Ningekubusu, asinidharau mtu.


Mimi nilikuwa ukuta, Na matiti yangu kama minara; Ndipo nikawa machoni pake Kama mtu aliyeipata amani.


Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo