Wimbo Ulio Bora 4:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Amka, kaskazi; nawe uje, kusi; Vumeni juu ya bustani yangu, Manukato ya bustani yatokee. Mpendwa wangu na aingie bustanini mwake, Akayale matunda yake mazuri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Vuma, ewe upepo wa kaskazi, njoo, ewe upepo wa kusi; vumeni juu ya bustani yangu, mlijaze anga kwa manukato yake. Mpenzi wangu na aje bustanini mwake, ale matunda yake bora kuliko yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Vuma, ewe upepo wa kaskazi, njoo, ewe upepo wa kusi; vumeni juu ya bustani yangu, mlijaze anga kwa manukato yake. Mpenzi wangu na aje bustanini mwake, ale matunda yake bora kuliko yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Vuma, ewe upepo wa kaskazi, njoo, ewe upepo wa kusi; vumeni juu ya bustani yangu, mlijaze anga kwa manukato yake. Mpenzi wangu na aje bustanini mwake, ale matunda yake bora kuliko yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Amka, upepo wa kaskazini, na uje, upepo wa kusini! Vuma juu ya bustani yangu, ili harufu yake nzuri iweze kuenea mpaka ng’ambo. Mpenzi wangu na aje bustanini mwake na kuonja matunda mazuri sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Amka, upepo wa kaskazini, na uje, upepo wa kusini! Vuma juu ya bustani yangu, ili harufu yake nzuri iweze kuenea mpaka ng’ambo. Mpendwa wangu na aje bustanini mwake na kuonja matunda mazuri sana. Tazama sura |