Wimbo Ulio Bora 4:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Nardo na zafarani, mchai na mdalasini, Na miti yote iletayo ubani, Manemane na udi, na kolezi kuu zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Nardo na zafarani, mchai na mdalasini manemane na udi, na mimea mingineyo yenye harufu nzuri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Nardo na zafarani, mchai na mdalasini manemane na udi, na mimea mingineyo yenye harufu nzuri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Nardo na zafarani, mchai na mdalasini manemane na udi, na mimea mingineyo yenye harufu nzuri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 nardo na zafarani, mchai na mdalasini, pamoja na kila aina ya mti wa uvumba, manemane na udi, na aina zote za vikolezo bora kuliko vyote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 nardo na zafarani, mchai na mdalasini, pamoja na kila aina ya mti wa uvumba, manemane na udi, na aina zote za vikolezo bora kuliko vyote. Tazama sura |