Wimbo Ulio Bora 4:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Bustani iliyofungwa ni dada yangu, bibi arusi, Kijito kilichofungwa, chemchemi iliyotiwa mhuri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Dada yangu, naam, bi arusi, ni bustani iliyofichika, bustani iliyosetiriwa; chemchemi iliyotiwa mhuri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Dada yangu, naam, bi arusi, ni bustani iliyofichika, bustani iliyosetiriwa; chemchemi iliyotiwa mhuri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Dada yangu, naam, bi arusi, ni bustani iliyofichika, bustani iliyosetiriwa; chemchemi iliyotiwa mhuri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Wewe ni bustani iliyofungwa, dada yangu, bibi arusi wangu; wewe ni chanzo cha maji kilichozungushiwa kabisa, chemchemi yangu peke yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wewe ni bustani iliyofungwa, dada yangu, bibi arusi wangu; wewe ni chanzo cha maji kilichozungushiwa kabisa, chemchemi yangu peke yangu. Tazama sura |