Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Wimbo Ulio Bora 3:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Mfalme Sulemani alijitengenezea machela Ya miti ya Lebanoni;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Mfalme Solomoni alijitengenezea machela, kwa mbao nzuri kutoka Lebanoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Mfalme Solomoni alijitengenezea machela, kwa mbao nzuri kutoka Lebanoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Mfalme Solomoni alijitengenezea machela, kwa mbao nzuri kutoka Lebanoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Mfalme Sulemani alijitengenezea gari; alilitengeneza kwa mbao kutoka Lebanoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Mfalme Sulemani alijitengenezea gari; alilitengeneza kwa mbao kutoka Lebanoni.

Tazama sura Nakili




Wimbo Ulio Bora 3:9
5 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Sivyo ilivyo nyumba yangu mbele za BWANA? Kwa kuwa amefanya nami agano la milele; Ina taratibu katika yote, ni thabiti, Maana ni wokovu wangu wote, na shauku langu lote.


Nguzo zake alizitengeneza za fedha, Na mgongo wake wa dhahabu, Kiti chake kimepambwa urujuani, Gari lake limenakishiwa njumu, Hiba ya binti za Yerusalemu.


Tazama, ni machela yake Sulemani; Mashujaa sitini waizunguka, Wa mashujaa wa Israeli.


Wote wameshika upanga, Wamehitimu kupigana; Kila mtu anao upanga wake pajani Kwa hofu ya kamsa za usiku.


Kisha nikaona malaika mwingine, akiruka katikati ya mbingu, akiwa na Injili ya milele, awahubirie hao wakaao juu ya nchi, na kila taifa na kabila na lugha na jamaa,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo