Wimbo Ulio Bora 3:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Wote wameshika upanga, Wamehitimu kupigana; Kila mtu anao upanga wake pajani Kwa hofu ya kamsa za usiku. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kila mmoja wao ameshika upanga, kila mmoja wao ni hodari wa vita. Kila mmoja ana upanga wake mkononi, tayari kumkabili adui usiku. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kila mmoja wao ameshika upanga, kila mmoja wao ni hodari wa vita. Kila mmoja ana upanga wake mkononi, tayari kumkabili adui usiku. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kila mmoja wao ameshika upanga, kila mmoja wao ni hodari wa vita. Kila mmoja ana upanga wake mkononi, tayari kumkabili adui usiku. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 wote wamevaa panga, wote wazoefu katika vita, kila mmoja na upanga wake pajani, wamejiandaa kwa ajili ya vitisho vya usiku. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 wote wamevaa panga, wote wazoefu katika vita, kila mmoja na upanga wake pajani, wamejiandaa kwa ajili ya hofu za usiku. Tazama sura |