Wimbo Ulio Bora 3:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Walinzi wazungukao mjini waliniona; Je! Mmemwona mpendwa wa nafsi yangu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Walinzi wa mji waliniona walipokuwa wanazunguka mjini. Basi nikawauliza, “Je, mmemwona mpenzi wangu wa moyo?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Walinzi wa mji waliniona walipokuwa wanazunguka mjini. Basi nikawauliza, “Je, mmemwona mpenzi wangu wa moyo?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Walinzi wa mji waliniona walipokuwa wanazunguka mjini. Basi nikawauliza, “Je, mmemwona mpenzi wangu wa moyo?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Walinzi walinikuta walipokuwa wakizunguka mji. Nikawauliza, “Je, mmemwona yule moyo wangu umpendaye?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Walinzi walinikuta walipokuwa wakizunguka mji. Nikawauliza, “Je, mmemwona yule moyo wangu umpendaye?” Tazama sura |