Wimbo Ulio Bora 2:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Mpendwa wangu ni kama paa, au ayala. Tazama, asimama nyuma ya ukuta wetu, Achungulia dirishani, atazama kimiani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mpenzi wangu ni kama paa, ni kama swala mchanga. Amesimama karibu na ukuta wetu, achungulia dirishani, atazama kimiani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mpenzi wangu ni kama paa, ni kama swala mchanga. Amesimama karibu na ukuta wetu, achungulia dirishani, atazama kimiani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mpenzi wangu ni kama paa, ni kama swala mchanga. Amesimama karibu na ukuta wetu, achungulia dirishani, atazama kimiani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Mpenzi wangu ni kama paa au ayala mchanga. Tazama! Anasimama nyuma ya ukuta wetu, akitazama kupitia madirishani, akichungulia kimiani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Mpenzi wangu ni kama paa au ayala kijana. Tazama! Anasimama nyuma ya ukuta wetu, akitazama kupitia madirishani, akichungulia kimiani. Tazama sura |