Wimbo Ulio Bora 2:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu, Nao wa kulia unanikumbatia! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mkono wake wa kushoto chini ya kichwa changu, mkono wake wa kulia wanikumbatia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mkono wake wa kushoto chini ya kichwa changu, mkono wake wa kulia wanikumbatia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mkono wake wa kushoto chini ya kichwa changu, mkono wake wa kulia wanikumbatia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu, na mkono wake wa kuume unanikumbatia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu, na mkono wake wa kuume unanikumbatia. Tazama sura |