Wimbo Ulio Bora 2:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Nishibisheni zabibu, niburudisheni kwa mapera, Kwa maana nimezimia kwa mapenzi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Nishibishe na zabibu kavu, niburudishe kwa matofaa, maana naugua kwa mapenzi! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Nishibishe na zabibu kavu, niburudishe kwa matofaa, maana naugua kwa mapenzi! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Nishibishe na zabibu kavu, niburudishe kwa matofaa, maana naugua kwa mapenzi! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Nitie nguvu kwa zabibu kavu, niburudishe kwa matofaa, kwa maana ninazimia kwa mapenzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Nitie nguvu kwa zabibu kavu, niburudishe kwa matofaa, kwa maana ninazimia kwa mapenzi. Tazama sura |