Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wimbo Ulio Bora 2:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Kama fahirisi kati ya miiba, Kadhalika mpenzi wangu kati ya binti.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Kama yungiyungi kati ya michongoma, ndivyo alivyo mpenzi wangu kati ya wasichana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Kama yungiyungi kati ya michongoma, ndivyo alivyo mpenzi wangu kati ya wasichana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Kama yungiyungi kati ya michongoma, ndivyo alivyo mpenzi wangu kati ya wasichana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Kama yungiyungi kati ya miiba, ndivyo alivyo mpendwa wangu kati ya wanawali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Kama yungiyungi katikati ya miiba ndivyo alivyo mpenzi wangu katikati ya wanawali.

Tazama sura Nakili




Wimbo Ulio Bora 2:2
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mimi ni ua la uwandani, Ni fahirisi ya mabondeni.


Kama mpera kati ya miti ya msituni, Kadhalika mpendwa wangu kati ya vijana. Niliketi kivulini mwake kwa furaha, Na matunda yake niliyaonja kuwa matamu.


Badala ya michongoma utamea msonobari, Na badala ya mibigili, mhadesi; Jambo hili litakuwa la kumpatia BWANA jina, Litakuwa ishara ya milele isiyokatiliwa mbali.


Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwamwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.


Muwe na mwenendo mzuri kati ya Mataifa, ili, iwapo huwasingizia kuwa watenda mabaya, wayatazamapo matendo yenu mazuri, wamtukuze Mungu siku ya kujiliwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo