Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wimbo Ulio Bora 2:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Maana tazama, majira ya baridi yamepita, Masika imekwisha, imekwenda zake;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Tazama, majira ya baridi yamepita, nazo mvua zimekwisha koma;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Tazama, majira ya baridi yamepita, nazo mvua zimekwisha koma;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Tazama, majira ya baridi yamepita, nazo mvua zimekwisha koma;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Tazama! Wakati wa masika umepita, mvua imekwisha na ikapita.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Tazama! Wakati wa masika umepita, mvua imekwisha na ikapita.

Tazama sura Nakili




Wimbo Ulio Bora 2:11
11 Marejeleo ya Msalaba  

Kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake; tena ameiweka hiyo milele ndani ya mioyo yao; ila kwa jinsi mwanadamu asivyoweza kuivumbua kazi ya Mungu anayoifanya, tangu mwanzo hata mwisho.


Wakati wa kulia, na wakati wa kucheka; Wakati wa kuomboleza, na wakati wa kucheza;


Mpendwa wangu alinena, akaniambia, Ondoka, mpenzi wangu, mzuri wangu, uje zako,


Maua yatokea katika nchi, Wakati wa kuimba umefika, Na sauti ya mwigo husikiwa kwetu.


Semeni na moyo wa Yerusalemu, kauambieni kwa sauti kuu ya kwamba vita vyake vimekwisha, uovu wake umeachiliwa; kwa kuwa amepokea kwa mkono wa BWANA adhabu maradufu kwa dhambi zake zote.


Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika.


Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, bali sasa mmekuwa nuru katika Bwana; nendeni kama watoto wa nuru,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo