Wimbo Ulio Bora 1:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Nguzo za nyumba yetu ni mierezi, Na viguzo vyetu ni miberoshi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 mierezi itakuwa nguzo za nyumba yetu, na miberoshi itakuwa dari yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 mierezi itakuwa nguzo za nyumba yetu, na miberoshi itakuwa dari yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 mierezi itakuwa nguzo za nyumba yetu, na miberoshi itakuwa dari yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Nguzo za nyumba yetu ni mierezi, na mapao yetu ni miberoshi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Nguzo za nyumba yetu ni mierezi, na mapao yetu ni miberoshi. Tazama sura |