Wimbo Ulio Bora 1:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Mpendwa wangu ni kama kishada cha hina, Katika mizabibu huko Engedi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Mpenzi wangu ni kama maua ya hina yachanuayo, kwenye mashamba ya mizabibu huko Engedi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Mpenzi wangu ni kama maua ya hina yachanuayo, kwenye mashamba ya mizabibu huko Engedi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Mpenzi wangu ni kama maua ya hina yachanuayo, kwenye mashamba ya mizabibu huko Engedi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Mpenzi wangu kwangu mimi ni kama kishada cha maua ya mhina kutoka mashamba ya mizabibu ya En-Gedi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Mpenzi wangu kwangu mimi ni kama kishada cha maua ya mhina kutoka mashamba ya mizabibu ya En-Gedi. Tazama sura |