Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wimbo Ulio Bora 1:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Muda mfalme alipoketi juu ya kochi, Nardo yangu ilitoa harufu yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Mfalme alipokuwa kwenye kochi lake, marashi yangu ya nardo yalisambaa kila mahali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Mfalme alipokuwa kwenye kochi lake, marashi yangu ya nardo yalisambaa kila mahali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Mfalme alipokuwa kwenye kochi lake, marashi yangu ya nardo yalisambaa kila mahali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Mfalme alipokuwa mezani pake, manukato yangu yalisambaza harufu yake nzuri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Wakati mfalme alipokuwa mezani pake, manukato yangu yalisambaza harufu yake nzuri.

Tazama sura Nakili




Wimbo Ulio Bora 1:12
14 Marejeleo ya Msalaba  

Moyo wangu umefurika kwa jambo jema, Mimi nasema niliyomfanyia mfalme; Ulimi wangu ni kama kalamu ya mwandishi stadi.


Tutakutengenezea mashada ya dhahabu, Yenye vifungo vya fedha.


Kichwa chako juu yako ni kama Karmeli, Na nywele za kichwa chako kama urujuani, Mfalme amenaswa na mashungi yake.


Lakini alipoingia yule mfalme ili kuwatazama wageni wake, akaona mle mtu mmoja asiyevaa vazi la arusi.


Akatuma tena watu kwa wengine, akisema, Waambieni wale walioalikwa, Tazameni, nimeandaa karamu yangu; ng'ombe zangu na vinono vimekwisha kuchinjwa, na vyote vimekuwa tayari, njoni arusini.


Kisha Mfalme atawaambia wale walioko katika mkono wake wa kulia, Njooni, mliobarikiwa na Baba yangu, urithini ufalme mliowekewa tayari tangu kuumbwa ulimwengu;


Naye alipokuwapo Bethania, nyumbani mwa Simoni mwenye ukoma, akiwa amekaa mezani, alikuja mwanamke mwenye chupa ya marhamu yenye manukato ya nardo safi ya thamani kubwa; akaivunja chupa akaimimina kichwani pake.


Basi Mariamu akatwaa ratili ya marhamu ya nardo safi yenye thamani nyingi, akampaka Yesu miguu, akamfuta miguu kwa nywele zake. Nayo nyumba pia ikajaa harufu ya marhamu.


Lakini ninavyo vitu vyote na kuzidi, tena nimejaa tele; nimepokea kwa mkono wa Epafrodito vitu vile vilivyotoka kwenu, harufu ya manukato, sadaka yenye kibali, impendezayo Mungu.


Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo