Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 9:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 bali Israeli wakiifuata sheria ya haki hawakuifikia ile sheria.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 hali watu wa Israeli ambao walitafuta sheria ya kuwafanya kuwa waadilifu, hawakuipata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 hali watu wa Israeli ambao walitafuta sheria ya kuwafanya kuwa waadilifu, hawakuipata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 hali watu wa Israeli ambao walitafuta sheria ya kuwafanya kuwa waadilifu, hawakuipata.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Lakini Israeli, ambao walijitahidi kupata haki kupitia kwa sheria, hawakuipata.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Lakini Israeli, ambao walijitahidi kupata haki kwa njia ya sheria, hawakuipata.

Tazama sura Nakili




Waroma 9:31
13 Marejeleo ya Msalaba  

Nisikilizeni, ninyi mnaoifuatia haki; ninyi mnaomtafuta BWANA; uangalieni mwamba ule ambao mlitolewa kwa kuchongwa, na tundu la shimo ambalo mlitolewa kwa kuchimbuliwa.


Na Isaya anao ujasiri mwingi, asema, Nilipatikana nao wasionitafuta, Nilidhihirika kwao wasioniulizia.


Imekuwaje basi? Kitu kile ambacho Israeli alikuwa akikitafuta hakukipata; lakini wale waliochaguliwa walikipata, na wengine walitiwa ugumu.


kwa sababu hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki mbele zake kwa matendo ya sheria; kwa maana kutambua dhambi huja kwa njia ya sheria.


Ku wapi, basi, kujisifu? Kumefungiwa nje. Kwa sheria ya namna gani? Kwa sheria ya matendo? La! Bali kwa sheria ya imani.


Basi je! Torati haipatani na ahadi za Mungu? La hasha! Kwa kuwa, kama ingalitolewa sheria iwezayo kuhuisha, hakika haki ingalipatikana kwa sheria.


kwa habari ya juhudi, mwenye kuliudhi kanisa, kwa habari ya haki ipatikanayo kwa sheria sikuwa na hatia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo