Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 9:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Wala si hivyo tu, lakini Rebeka naye, akiisha kuchukua mimba kwa mume mmoja, naye ni Isaka, baba yetu,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Tena si hayo tu, ila pia Rebeka naye alipata mapacha kwa baba mmoja, yaani Isaka, babu yetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Tena si hayo tu, ila pia Rebeka naye alipata mapacha kwa baba mmoja, yaani Isaka, babu yetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Tena si hayo tu, ila pia Rebeka naye alipata mapacha kwa baba mmoja, yaani Isaka, babu yetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Wala si hivyo tu, bali pia watoto aliowazaa Rebeka walikuwa na baba huyo huyo mmoja, yaani baba yetu Isaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Wala si hivyo tu, bali pia watoto aliowazaa Rebeka walikuwa na baba huyo huyo mmoja, yaani, baba yetu Isaka.

Tazama sura Nakili




Waroma 9:10
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu.


Wala si hivyo tu, ila pia twajifurahisha katika Mungu kwa Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye kwa yeye sasa tumeupokea huo upatanisho.


Wala si hivyo tu, ila na mfurahi katika dhiki pia; mkijua ya kuwa dhiki, kazi yake ni kuleta subira;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo