Waroma 8:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Kwa maana viumbe vyote pia vinatazamia kwa shauku nyingi kufunuliwa kwa wana wa Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Viumbe vyote vinangojea kwa hamu Mungu awadhihirishe watoto wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Viumbe vyote vinangojea kwa hamu Mungu awadhihirishe watoto wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Viumbe vyote vinangojea kwa hamu Mungu awadhihirishe watoto wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kwa maana viumbe vyote vinangoja kwa shauku kudhihirishwa kwa watoto wa Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kwa maana viumbe vyote vinangoja kwa shauku kudhihirishwa kwa watoto wa Mungu. Tazama sura |