Waroma 7:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Basi nimeona sheria hii, ya kuwa kwangu mimi nitakaye kutenda lililo jema, lipo lililo baya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Basi, nimegundua kanuni hii: Ninataka kufanya jema, lakini najikuta kwamba lile lililo baya ndilo ninalochagua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Basi, nimegundua kanuni hii: Ninataka kufanya jema, lakini najikuta kwamba lile lililo baya ndilo ninalochagua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Basi, nimegundua kanuni hii: ninataka kufanya jema, lakini najikuta kwamba lile lililo baya ndilo ninalochagua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Hivyo naiona Torati ikitenda kazi. Ninapotaka kutenda jema, jambo baya liko papo hapo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Hivyo naiona Torati ikitenda kazi. Ninapotaka kutenda jema, jambo baya liko papo hapo. Tazama sura |