Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 7:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Basi kama lile nisilolipenda ndilo nilitendalo, si mimi nafsi yangu nilitendaye, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Basi, kama ninafanya kinyume cha matakwa yangu, hii inamaanisha kwamba si mimi ninayefanya hayo, bali ni ile dhambi inayokaa ndani yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Basi, kama ninafanya kinyume cha matakwa yangu, hii inamaanisha kwamba si mimi ninayefanya hayo, bali ni ile dhambi inayokaa ndani yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Basi, kama ninafanya kinyume cha matakwa yangu, hii inamaanisha kwamba si mimi ninayefanya hayo, bali ni ile dhambi inayokaa ndani yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Basi kama ninatenda lile nisilotaka kutenda, si mimi tena nifanyaye hivyo, bali ni ile dhambi inayokaa ndani yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Basi kama ninatenda lile nisilotaka kutenda, si mimi tena nifanyaye hivyo, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu.

Tazama sura Nakili

Waroma 7:20
2 Marejeleo ya Msalaba  

Basi mtu yeyote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.

Basi sasa si mimi nafsi yangu ninayetenda hilo, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu

Tufuate:

Matangazo

Matangazo