Waroma 7:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Basi sasa si mimi nafsi yangu ninayetenda hilo, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Basi, si mimi hasa ninayefanya kitu hicho, bali ile dhambi inayokaa ndani yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Basi, si mimi hasa ninayefanya kitu hicho, bali ile dhambi inayokaa ndani yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Basi, si mimi hasa ninayefanya kitu hicho, bali ile dhambi inayokaa ndani yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Lakini, kwa kweli si mimi tena nitendaye lile nisilotaka bali ni ile dhambi inayokaa ndani yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Lakini, kwa kweli si mimi tena nitendaye lile nisilotaka bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu. Tazama sura |