Waroma 4:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Lakini kwa mtu afanyaye kazi, ujira wake hauhesabiwi kuwa ni neema, bali kuwa ni deni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mfanyakazi hulipwa mshahara; mshahara wake si zawadi bali ni haki yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mfanyakazi hulipwa mshahara; mshahara wake si zawadi bali ni haki yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mfanyakazi hulipwa mshahara; mshahara wake si zawadi bali ni haki yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Basi mtu afanyapo kazi, mshahara wake hauhesabiwi kwake kuwa ni zawadi, bali ni haki yake anayostahili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Basi mtu afanyapo kazi, mshahara wake hauhesabiwi kwake kuwa ni zawadi, bali ni haki yake anayostahili. Tazama sura |