Waroma 4:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 bali na kwa ajili yetu sisi mtakaohesabiwa vivyo hivyo, sisi tunaomwamini yeye aliyemfufua Yesu Bwana wetu katika wafu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Jambo hili linatuhusu sisi pia ambao tunamwamini Mungu aliyemfufua Yesu, Bwana wetu, kutoka kwa wafu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Jambo hili linatuhusu sisi pia ambao tunamwamini Mungu aliyemfufua Yesu, Bwana wetu, kutoka kwa wafu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Jambo hili linatuhusu sisi pia ambao tunamwamini Mungu aliyemfufua Yesu, Bwana wetu, kutoka kwa wafu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 bali kwa ajili yetu sisi pia ambao Mungu atatupatia haki, sisi tunaomwamini yeye aliyemfufua Isa Bwana wetu kutoka kwa wafu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 bali kwa ajili yetu sisi pia ambao Mungu atatupa haki, sisi tunaomwamini yeye aliyemfufua Isa Bwana wetu kutoka kwa wafu. Tazama sura |