Waroma 4:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Kwa sababu sheria ndiyo ifanyayo hasira; maana pasipokuwapo sheria, hapana kosa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Sheria husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna sheria, haiwezekani kuivunja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Sheria husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna sheria, haiwezekani kuivunja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Sheria husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna sheria, haiwezekani kuivunja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 kwa sababu sheria huleta ghadhabu. Mahali ambapo hakuna sheria, hakuna makosa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 kwa sababu sheria huleta ghadhabu. Mahali ambapo hakuna sheria hakuna makosa. Tazama sura |