Waroma 3:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Basi, twaona ya kuwa mwanadamu huhesabiwa haki kwa imani pasipo matendo ya sheria. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Maana Mungu humkubali mtu kuwa mwadilifu kwa imani, wala si kwa kutimiza matakwa ya sheria. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Maana Mungu humkubali mtu kuwa mwadilifu kwa imani, wala si kwa kutimiza matakwa ya sheria. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Maana Mungu humkubali mtu kuwa mwadilifu kwa imani, wala si kwa kutimiza matakwa ya sheria. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Kwa maana twaona kwamba mwanadamu huhesabiwa haki kupitia kwa imani wala si kwa matendo ya sheria. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Kwa maana twaona kwamba mwanadamu huhesabiwa haki kwa njia ya imani wala si kwa matendo ya sheria. Tazama sura |