Waroma 2:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 na kujua hakika ya kuwa wewe mwenyewe u kiongozi wa vipofu, mwanga wao walio gizani, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 wewe unajiona kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga kwa wale walio gizani; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 wewe unajiona kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga kwa wale walio gizani; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 wewe unajiona kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga kwa wale walio gizani; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 kama unatambua kuwa wewe ni kiongozi wa vipofu, na mwanga kwa wale walio gizani, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 kama unatambua kuwa wewe ni kiongozi wa vipofu, na mwanga kwa wale walio gizani, Tazama sura |