Waroma 16:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Nisalimieni Epaineto, mpenzi wangu, aliye malimbuko ya Asia kwa Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Salamu zangu pia kwa kanisa linalokutana nyumbani kwao. Salamu zangu zimfikie rafiki yangu Epaineto ambaye ni wa kwanza katika mkoa wa Asia kumwamini Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Salamu zangu pia kwa kanisa linalokutana nyumbani kwao. Salamu zangu zimfikie rafiki yangu Epaineto ambaye ni wa kwanza katika mkoa wa Asia kumwamini Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Salamu zangu pia kwa kanisa linalokutana nyumbani kwao. Salamu zangu zimfikie rafiki yangu Epaineto ambaye ni wa kwanza katika mkoa wa Asia kumwamini Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Salimuni pia kundi la waumini wanaokutana nyumbani mwao. Msalimuni rafiki yangu mpendwa Epaineto, aliyekuwa mtu wa kwanza kumwamini Al-Masihi huko jimbo la Asia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Lisalimuni pia kundi la waumini linalokutana nyumbani mwao. Msalimuni rafiki yangu mpendwa Epaineto, aliyekuwa mtu wa kwanza kumwamini Al-Masihi huko Asia. Tazama sura |