Waroma 16:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Nisalimieni Herodioni, jamaa yangu. Nisalimieni watu wa nyumbani mwa Narkiso, walio katika Bwana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Salamu zangu kwa Herodiana, mwananchi mwenzangu; na kwa jamaa yote ya Narkisi iliyojiunga na Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Salamu zangu kwa Herodiana, mwananchi mwenzangu; na kwa jamaa yote ya Narkisi iliyojiunga na Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Salamu zangu kwa Herodiana, mwananchi mwenzangu; na kwa jamaa yote ya Narkisi iliyojiunga na Bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Msalimuni ndugu yangu Herodioni. Wasalimuni wote walio nyumbani mwa Narkiso walio katika Bwana Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Msalimuni ndugu yangu Herodioni. Wasalimuni wote walio nyumbani mwa Narkisi walio katika Bwana Isa. Tazama sura |