Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 15:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 Basi nikiisha kuimaliza kazi hiyo, na kuwatilia mhuri tunda hilo, nitapitia kwenu, kwenda Spania.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Nitakapokwisha tekeleza kazi hiyo na kuwakabidhi mchango huo uliokusanywa kwa ajili yao, nitawatembeleeni nyinyi nikiwa safarini kwenda Spania.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Nitakapokwisha tekeleza kazi hiyo na kuwakabidhi mchango huo uliokusanywa kwa ajili yao, nitawatembeleeni nyinyi nikiwa safarini kwenda Spania.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Nitakapokwisha tekeleza kazi hiyo na kuwakabidhi mchango huo uliokusanywa kwa ajili yao, nitawatembeleeni nyinyi nikiwa safarini kwenda Spania.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Kwa hiyo baada ya kukamilisha kazi hii na kuhakikisha kuwa wamepokea kila kitu kilichokusanywa, nitapitia kwenu nikiwa njiani kwenda Hispania.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Kwa hiyo baada ya kukamilisha kazi hii na kuhakikisha kuwa wamepokea kila kitu kilichokusanywa, nitapitia kwenu nikiwa njiani kwenda Hispania.

Tazama sura Nakili

Waroma 15:28
9 Marejeleo ya Msalaba  

Mna hila nyingi moyoni mwa mtu; Lakini shauri la BWANA ndilo litakalosimama.

Ni nani asemaye neno nalo likafanyika, Ikiwa Bwana hakuliagiza?

Wakaenda, wakalilinda kaburi salama, kwa kulitia lile jiwe mhuri, pamoja na kuwaweka wale askari walinzi.

Yeye aliyeukubali ushuhuda wake ametia mhuri ya kwamba Mungu ni kweli.

Mambo hayo yalipokwisha kumalizika, Paulo akaazimu rohoni mwake, akiisha kupita katika Makedonia na Akaya, aende Yerusalemu, akisema, Baada ya kuwako huko, yanipasa kuuona na Rumi pia.

wakati wowote nitakaosafiri kwenda Spania [nitakuja kwenu.] Kwa maana natarajia kuwaona ninyi nikiwa katika safari, na kusafirishwa nanyi, baada ya kukaa kwenu kwa muda.

Si kwamba nakitamani kile kipawa, bali nayatamani mazao yanayozidi kuwa mengi, katika hesabu yenu.

iliyofika kwenu, kama ilivyo katika ulimwengu wote, na kuzaa matunda na kukua, kama inavyokua kwenu pia, tangu siku mlipoisikia mkaifahamu sana neema ya Mungu katika kweli;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo