Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 15:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 kadhalika nikijitahidi kuihubiri Injili, nisihubiri hapo ambapo jina la Kristo limekwisha kutajwa, nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwingine;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Nia yangu imekuwa daima kuihubiri Habari Njema popote pale ambapo jina la Kristo halijapata kusikika, nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwingine.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Nia yangu imekuwa daima kuihubiri Habari Njema popote pale ambapo jina la Kristo halijapata kusikika, nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwingine.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Nia yangu imekuwa daima kuihubiri Habari Njema popote pale ambapo jina la Kristo halijapata kusikika, nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwingine.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Hivyo imekuwa nia yangu kuhubiri Injili pale ambapo Al-Masihi hajajulikana, ili nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwingine.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Hivyo ni nia yangu kuhubiri Habari Njema, si pale ambapo Al-Masihi amekwisha kujulikana, ili nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwingine.

Tazama sura Nakili

Waroma 15:20
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa hiyo, kwa upande wangu, mimi ni tayari kuihubiri Injili hata na kwenu ninyi mnaokaa Rumi.

Tena wahubirije, wasipopelekwa? Kama ilivyoandikwa, Ni mizuri kama nini miguu yao wahubirio habari ya mema!

ili niwe mhudumu wa Kristo Yesu kati ya watu wa Mataifa, niifanyie Injili ya Mungu kazi ya ukuhani, kusudi Mataifa wawe sadaka yenye kibali, ikiisha kutakaswa na Roho Mtakatifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo