Waroma 14:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Kwa maana kama tukiishi, twaishi kwa Bwana, au kama tukifa, twafa kwa Bwana. Basi kama tukiishi au kama tukifa, tu mali ya Bwana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 maana tukiishi twaishi kwa ajili ya Bwana; tukifa, tunakufa kwa ajili ya Bwana. Basi, kama tukiishi au tukifa, sisi ni mali yake Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 maana tukiishi twaishi kwa ajili ya Bwana; tukifa, tunakufa kwa ajili ya Bwana. Basi, kama tukiishi au tukifa, sisi ni mali yake Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 maana tukiishi twaishi kwa ajili ya Bwana; tukifa, tunakufa kwa ajili ya Bwana. Basi, kama tukiishi au tukifa, sisi ni mali yake Bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kama tunaishi, tunaishi kwa Mwenyezi Mungu, nasi pia tukifa tunakufa kwa Mwenyezi Mungu. Kwa hiyo basi, kama tukiishi au kama tukifa, sisi ni mali ya Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kama tunaishi, tunaishi kwa Bwana Isa, nasi pia tukifa tunakufa kwa Bwana Isa. Kwa hiyo basi, kama tukiishi au kama tukifa, sisi ni mali ya Bwana Isa. Tazama sura |