Waroma 14:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Basi ni hivyo, kila mtu miongoni mwetu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kwa hiyo, kila mmoja wetu atatoa hoja juu yake mwenyewe mbele ya Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kwa hiyo, kila mmoja wetu atatoa hoja juu yake mwenyewe mbele ya Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kwa hiyo, kila mmoja wetu atatoa hoja juu yake mwenyewe mbele ya Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Hivyo basi kila mmoja wetu atatoa habari zake mwenyewe kwa Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Hivyo basi kila mmoja wetu atatoa habari zake mwenyewe kwa Mwenyezi Mungu. Tazama sura |