Waroma 13:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Bali mvaeni Bwana Yesu Kristo, wala msiuangalie mwili, hata kuwasha tamaa zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Bwana Yesu Kristo awe vazi lenu; msishughulikie tena tamaa zenu za maumbile na kuziridhisha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Bwana Yesu Kristo awe vazi lenu; msishughulikie tena tamaa zenu za maumbile na kuziridhisha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Bwana Yesu Kristo awe vazi lenu; msishughulikie tena tamaa zenu za maumbile na kuziridhisha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Bali jivikeni Bwana Isa Al-Masihi, wala msifikiri jinsi mtakavyotimiza tamaa za miili yenu yenye asili ya dhambi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Bali jivikeni Bwana Isa Al-Masihi, wala msifikiri jinsi mtakavyotimiza tamaa za miili yenu yenye asili ya dhambi. Tazama sura |