Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 10:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Maana Maandiko Matakatifu yasema: “Kila mtu atakayeomba kwa jina la Bwana, ataokolewa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Maana Maandiko Matakatifu yasema: “Kila mtu atakayeomba kwa jina la Bwana, ataokolewa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Maana Maandiko Matakatifu yasema: “Kila mtu atakayeomba kwa jina la Bwana, ataokolewa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kwa maana, “Kila mtu atakayeliitia Jina la Mwenyezi Mungu, ataokolewa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kwa maana, “Kila mtu atakayeliitia Jina la Bwana Mwenyezi, ataokolewa.”

Tazama sura Nakili




Waroma 10:13
2 Marejeleo ya Msalaba  

Na itakuwa ya kwamba mtu awaye yote atakayeliita jina la BWANA ataponywa; kwa kuwa katika mlima Sayuni na katika Yerusalemu watakuwako watu watakaookoka, kama BWANA alivyosema; na katika mabaki, hao awaitao BWANA.


Na itakuwa kila atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo