Waroma 1:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Kwa hiyo, kwa upande wangu, mimi ni tayari kuihubiri Injili hata na kwenu ninyi mnaokaa Rumi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Ndiyo maana ninatamani pia kuihubiri Habari Njema kwenu nyinyi mlioko huko Roma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Ndiyo maana ninatamani pia kuihubiri Habari Njema kwenu nyinyi mlioko huko Roma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Ndiyo maana ninatamani pia kuihubiri Habari Njema kwenu nyinyi mlioko huko Roma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Ndiyo sababu ninatamani sana kuihubiri Injili kwenu pia ninyi mlioko Rumi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ndiyo sababu ninatamani sana kuihubiri Injili kwenu pia ninyi mlioko Rumi. Tazama sura |