Waroma 1:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Nawiwa na Wagiriki na wasio Wagiriki, nawiwa na wenye hekima na wasio na hekima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Ninalo jukumu kwa watu wote, waliostaarabika na wasiostaarabika, wenye elimu na wasio na elimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Ninalo jukumu kwa watu wote, waliostaarabika na wasiostaarabika, wenye elimu na wasio na elimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Ninalo jukumu kwa watu wote, waliostaarabika na wasiostaarabika, wenye elimu na wasio na elimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Mimi ni mdeni kwa Wayunani na kwa wasio Wayunani, kwa wenye hekima na kwa wasio na hekima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Mimi ni mdeni kwa Wayunani na kwa wasio Wayunani, kwa wenye hekima na kwa wasio na hekima. Tazama sura |