Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Walawi 9:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 na vile vidari, na mguu wa nyuma wa upande wa kulia, Haruni akavitikisa huku na huku viwe sadaka ya kutikiswa mbele ya BWANA; kama Musa alivyoagiza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Lakini vile vidari na ule mguu wa nyuma wa kulia, Aroni alifanya navyo ishara ya kumtolea Mwenyezi-Mungu, kama Mose alivyoamuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Lakini vile vidari na ule mguu wa nyuma wa kulia, Aroni alifanya navyo ishara ya kumtolea Mwenyezi-Mungu, kama Mose alivyoamuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Lakini vile vidari na ule mguu wa nyuma wa kulia, Aroni alifanya navyo ishara ya kumtolea Mwenyezi-Mungu, kama Mose alivyoamuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Haruni akaviinua vile vidari na paja la kulia mbele za Mwenyezi Mungu ili viwe sadaka ya kuinuliwa, kama Musa alivyoagiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Haruni akaviinua vile vidari na paja la kulia mbele za bwana ili viwe sadaka ya kuinuliwa, kama Musa alivyoagiza.

Tazama sura Nakili




Walawi 9:21
9 Marejeleo ya Msalaba  

nawe utavitia hivi vyote katika mikono ya Haruni, na katika mikono ya wanawe; nawe utavitikisatikisa viwe sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA.


akaniambia; Wewe u mtumishi wangu, Israeli, ambaye katika wewe nitatukuzwa.


Tena mafuta ya mnyama afaye mwenyewe, na mafuta ya mnyama aliyeraruliwa na wanyama, mna ruhusa kuyatumia kwa matumizi mengine; lakini msiyale kamwe.


Tena msiile damu yoyote, ama ya ndege, ama ya mnyama, katika nyumba zenu zote.


nao wakayaweka hayo mafuta juu ya vidari, naye akayateketeza mafuta juu ya madhabahu;


Mara walikuwapo pamoja na huyo malaika, wingi wa jeshi la mbinguni, wakimsifu Mungu, na kusema,


Mtu akisema, na aseme kama asemaye maneno halisi ya Mungu; mtu akihudumu, na ahudumu kwa nguvu anazojaliwa na Mungu; ili Mungu atukuzwe katika mambo yote kwa Yesu Kristo. Utukufu na uweza una yeye hata milele na milele. Amina.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo