Walawi 9:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Huyo ng'ombe dume naye akamchinja, na huyo kondoo dume pia, dhabihu ya sadaka za amani, zilizokuwa kwa ajili ya watu; na wanawe Haruni wakamsogezea ile damu, naye akainyunyiza katika madhabahu pande zote, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Halafu Aroni akamchinja pia fahali na yule kondoo dume wa sadaka za amani kwa ajili ya watu. Wanawe wakamletea damu ambayo aliinyunyizia madhabahu pande zote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Halafu Aroni akamchinja pia fahali na yule kondoo dume wa sadaka za amani kwa ajili ya watu. Wanawe wakamletea damu ambayo aliinyunyizia madhabahu pande zote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Halafu Aroni akamchinja pia fahali na yule kondoo dume wa sadaka za amani kwa ajili ya watu. Wanawe wakamletea damu ambayo aliinyunyizia madhabahu pande zote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Akachinja maksai na kondoo dume kuwa sadaka ya amani kwa ajili ya watu. Wanawe Haruni wakampa ile damu, naye akainyunyiza pande zote za madhabahu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Akachinja maksai na kondoo dume kama sadaka ya amani kwa ajili ya watu. Wanawe Haruni wakampa ile damu, naye akainyunyiza kwenye madhabahu pande zote. Tazama sura |