Walawi 9:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Kisha akaosha matumbo, na miguu na kuiteketeza juu ya hiyo sadaka ya kuteketezwa madhabahuni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Akaosha matumbo na miguu na kuiteketeza pamoja na ile sadaka ya kuteketezwa kwenye madhabahu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Akaosha matumbo na miguu na kuiteketeza pamoja na ile sadaka ya kuteketezwa kwenye madhabahu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Akaosha matumbo na miguu na kuiteketeza pamoja na ile sadaka ya kuteketezwa kwenye madhabahu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Akasafisha sehemu za ndani na miguu, akaviteketeza juu ya sadaka ya kuteketezwa juu ya madhabahu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Akasafisha sehemu za ndani na miguu, akaviteketeza juu ya sadaka ya kuteketezwa juu ya madhabahu. Tazama sura |