Walawi 9:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Basi ilikuwa siku ya nane, Musa akawaita Haruni na wanawe, pamoja na wazee wa Israeli; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Siku ya nane baada ya siku saba za kuwekwa wakfu, Mose akamwita Aroni na wanawe pamoja na wazee wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Siku ya nane baada ya siku saba za kuwekwa wakfu, Mose akamwita Aroni na wanawe pamoja na wazee wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Siku ya nane baada ya siku saba za kuwekwa wakfu, Mose akamwita Aroni na wanawe pamoja na wazee wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Katika siku ya nane, Musa akawaita Haruni na wanawe, na wazee wa Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Katika siku ya nane, Musa akawaita Haruni na wanawe, na wazee wa Israeli. Tazama sura |