Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Walawi 8:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

36 Basi Haruni na wanawe wakafanya mambo hayo yote BWANA aliyoyaagiza kwa mkono wa Musa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Basi, Aroni na wanawe wakafanya mambo yote aliyoamuru Mwenyezi-Mungu kwa njia ya Mose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Basi, Aroni na wanawe wakafanya mambo yote aliyoamuru Mwenyezi-Mungu kwa njia ya Mose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Basi, Aroni na wanawe wakafanya mambo yote aliyoamuru Mwenyezi-Mungu kwa njia ya Mose.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Kwa hiyo Haruni na wanawe wakafanya kila kitu Mwenyezi Mungu alichoamuru kupitia kwa Musa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Kwa hiyo Haruni na wanawe wakafanya kila kitu bwana alichoamuru kupitia kwa Musa.

Tazama sura Nakili




Walawi 8:36
8 Marejeleo ya Msalaba  

Musa akaiona hiyo kazi yote, na tazama, walikuwa wameimaliza; vile vile kama BWANA alivyoagiza, walikuwa wameifanya vivyo hivyo; basi Musa akawaombea heri.


Musa akafanya hayo yote; kama BWANA aliyoagiza ndivyo alivyofanya yote.


Nanyi mtakaa mlangoni pa hema ya kukutania muda wa siku saba mchana na usiku, na kuulinda ulinzi wa BWANA ili kwamba msife; kwani ndivyo nilivyoagizwa.


Akamvika na kile kilemba kichwani mwake; na juu ya kilemba, upande wa mbele, akakitia kile kipande cha dhahabu, hilo taji takatifu; kama BWANA alivyomwagiza Musa.


Basi ilikuwa siku ya nane, Musa akawaita Haruni na wanawe, pamoja na wazee wa Israeli;


Neno lolote ninalowaagiza lizingatieni, usilizidishe, wala usilipunguze.


Msiliongeze neno ninalowaamuru wala msilipunguze, mpate kuzishika amri za BWANA, Mungu wenu, ninazowaamuru.


Naye Samweli akasema, Je! BWANA huzipenda sadaka za kuteketezwa na dhabihu Sawasawa na kuitii sauti ya BWANA? Angalia, kutii ni bora kuliko dhabihu, Na kusikiza ushauri kuliko mafuta ya beberu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo