Walawi 8:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Nacho kitakachosalia katika hiyo nyama na mikate mtakichoma moto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Nyama yoyote au mkate wowote utakaosalia ni lazima kuteketezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Nyama yoyote au mkate wowote utakaosalia ni lazima kuteketezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Nyama yoyote au mkate wowote utakaosalia ni lazima kuteketezwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Kisha mteketeze nyama na mikate iliyobaki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Kisha teketeza nyama na mikate iliyobaki. Tazama sura |