Walawi 7:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 na kuhani atayateketeza juu ya madhabahu, kuwa dhabihu kwa BWANA kwa njia ya moto; ni sadaka ya hatia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu kama sadaka anayotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto. Hiyo ni sadaka ya kuondoa hatia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu kama sadaka anayotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto. Hiyo ni sadaka ya kuondoa hatia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu kama sadaka anayotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto. Hiyo ni sadaka ya kuondoa hatia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kuhani atayateketeza juu ya madhabahu kuwa sadaka iliyotolewa kwa Mwenyezi Mungu kwa moto. Hii ni sadaka ya hatia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kuhani atayateketeza juu ya madhabahu kuwa sadaka iliyotolewa kwa bwana kwa moto. Hii ni sadaka ya hatia. Tazama sura |