Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 7:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

38 ambazo BWANA alimwagiza Musa katika mlima wa Sinai, siku hiyo aliyowaagiza wana wa Israeli wamtolee BWANA matoleo yao, huko katika jangwa la Sinai.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Mwenyezi-Mungu alimpa Mose amri hizi mlimani Sinai siku ile alipowaamuru Waisraeli wamletee sadaka zao, kule jangwani Sinai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Mwenyezi-Mungu alimpa Mose amri hizi mlimani Sinai siku ile alipowaamuru Waisraeli wamletee sadaka zao, kule jangwani Sinai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Mwenyezi-Mungu alimpa Mose amri hizi mlimani Sinai siku ile alipowaamuru Waisraeli wamletee sadaka zao, kule jangwani Sinai.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 ambayo Mwenyezi Mungu alimpa Musa juu ya Mlima Sinai siku ile alipowaagiza Waisraeli walete sadaka zao kwa Mwenyezi Mungu, katika Jangwa la Sinai.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 ambayo bwana alimpa Musa juu ya Mlima Sinai siku ile alipowaagiza Waisraeli walete sadaka zao kwa bwana, katika Jangwa la Sinai.

Tazama sura Nakili




Walawi 7:38
5 Marejeleo ya Msalaba  

Hizi ni amri, maagizo na sheria, BWANA alizozifanya kati ya yeye na hao wana wa Israeli katika huo mlima wa Sinai kwa mkono wa Musa.


Haya ndiyo maagizo, BWANA aliyomwagiza Musa kwa ajili ya wana wa Israeli katika mlima wa Sinai.


BWANA akanena na Musa, na kumwambia,


Angalieni nimewafundisha amri na hukumu, vile vile kama BWANA, Mungu wangu, alivyoniamuru, ili mzitende katika nchi mwingiayo ili kuimiliki.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo