Walawi 7:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Kuhani atayateketeza hayo mafuta juu ya madhabahu; lakini hicho kidari kitakuwa cha Haruni na wanawe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Kuhani atayateketeza mafuta yote juu ya madhabahu, lakini kidari kitakuwa cha Aroni na wanawe makuhani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Kuhani atayateketeza mafuta yote juu ya madhabahu, lakini kidari kitakuwa cha Aroni na wanawe makuhani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Kuhani atayateketeza mafuta yote juu ya madhabahu, lakini kidari kitakuwa cha Aroni na wanawe makuhani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Kuhani atayateketeza hayo mafuta juu ya madhabahu, lakini kidari kitakuwa cha Haruni na wanawe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Kuhani atayateketeza hayo mafuta juu ya madhabahu, lakini kidari kitakuwa cha Haruni na wanawe. Tazama sura |