Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 7:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

29 Nena na wana wa Israeli uwaambie, Yeye asongezaye dhabihu yake ya sadaka za amani kwa BWANA, atamletea BWANA matoleo yake, kutoka katika ile dhabihu ya sadaka zake za amani;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 “Waambie watu wa Israeli hivi: Mtu yeyote akitoa sadaka ya amani, atampa Mwenyezi-Mungu sehemu ya sadaka hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 “Waambie watu wa Israeli hivi: Mtu yeyote akitoa sadaka ya amani, atampa Mwenyezi-Mungu sehemu ya sadaka hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 “Waambie watu wa Israeli hivi: Mtu yeyote akitoa sadaka ya amani, atampa Mwenyezi-Mungu sehemu ya sadaka hiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 “Waambie Waisraeli: ‘Mtu yeyote aletaye sadaka ya amani kwa Mwenyezi Mungu ataleta sehemu ya sadaka hiyo kama dhabihu yake kwa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 “Waambie Waisraeli: ‘Mtu yeyote aletaye sadaka ya amani kwa bwana ataleta sehemu ya sadaka hiyo kama dhabihu yake kwa bwana.

Tazama sura Nakili




Walawi 7:29
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na sheria ya matoleo ya sadaka za amani, atakazosongeza mtu kwa BWANA, ni hii.


BWANA akanena na Musa, na kumwambia,


nao wakayaweka hayo mafuta juu ya vidari, naye akayateketeza mafuta juu ya madhabahu;


na kwa yeye kuvipatanisha vitu vyote na nafsi yake akiisha kufanya amani kwa damu ya msalaba wake; kwa yeye, ikiwa ni vitu vilivyo juu ya nchi, au vilivyo mbinguni.


bali tukienenda katika nuru, kama yeye alivyo katika nuru, tunashirikiana sisi kwa sisi, na damu yake Yesu, Mwana wake, yatusafisha dhambi yote.


wala haki ya makuhani ilivyokuwa kwa watu. Wakati huo mtu yeyote alipotoa dhabihu wakati wowote, ndipo huja mtumishi wa kuhani, nyama ilipokuwa katika kutokota, naye akawa na uma wa meno matatu mkononi mwake;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo