Walawi 7:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 lakini mtu huyo atakayekula katika nyama ya sadaka za amani, ambazo ni za BWANA, na unajisi wake akiwa nao juu yake, mtu huyo atakatiliwa mbali na watu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 iliyotolewa sadaka ya amani kwa Mwenyezi-Mungu. Lakini mtu yeyote aliye najisi, akila nyama hiyo, atatengwa na watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 iliyotolewa sadaka ya amani kwa Mwenyezi-Mungu. Lakini mtu yeyote aliye najisi, akila nyama hiyo, atatengwa na watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 iliyotolewa sadaka ya amani kwa Mwenyezi-Mungu. Lakini mtu yeyote aliye najisi, akila nyama hiyo, atatengwa na watu wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Lakini kama mtu yeyote najisi akila nyama yoyote ya sadaka ya amani iliyotolewa kwa Mwenyezi Mungu, huyo mtu lazima akatiliwe mbali na watu wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Lakini kama mtu yeyote najisi akila nyama yoyote ya sadaka ya amani iliyotolewa kwa bwana, huyo mtu lazima akatiliwe mbali na watu wake. Tazama sura |