Walawi 6:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 na huyo kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake mbele za BWANA, naye atasamehewa; katika jambo lolote alifanyalo hata akapata kuwa mwenye hatia kwalo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kuhani atamfanyia ibada ya upatanisho mbele ya Mwenyezi-Mungu, naye atasamehewa kosa ambalo alikuwa amelifanya.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kuhani atamfanyia ibada ya upatanisho mbele ya Mwenyezi-Mungu, naye atasamehewa kosa ambalo alikuwa amelifanya.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kuhani atamfanyia ibada ya upatanisho mbele ya Mwenyezi-Mungu, naye atasamehewa kosa ambalo alikuwa amelifanya.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kwa njia hii kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake mbele za Mwenyezi Mungu, naye atasamehewa kwa kosa lolote katika mambo aliyoyatenda lililomfanya kuwa na hatia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kwa njia hii kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake mbele za bwana, naye atasamehewa kwa kosa lolote katika mambo hayo aliyoyatenda yaliyomfanya kuwa na hatia.” Tazama sura |